Unapofanya mauaji na ushahidi kuonyesha unahusika ktk Google Search - Casey Anthony.

Iselamagazi

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Posts
6,020
Reaction score
6,161
Habari wana Jamvi!

Hii ni kuhusu kesi ya Casey Anthony, mama wa Kimarekani aliyefanya unyama mkubwa kwa kumuua mwanae wa kuzaa - Caylee Anthony (2yrs) mnamo mwaka 2008! Maiti ya mtoto huyu iliokotwa baada ya miezi sita jirani na makazi ya mama huyu. Pamoja na ushahidi wa kutosha kumtia hatiani mama Casey, bado aliachiliwa huru na mahakama kwa kutopatikana na hatia ya mauaji! Polisi hawakufanya kazi ya kutosha kuhusiana na mambo ya mitandao; baadae wataalamu wa IT, waligungua jinsi mama huyu alivyokuwa akihangaika ktk Google Search zaidi ya mara 80, jinsi ya kummaliza mtoto huyu mdogo asiye kuwa na hatia yoyote.






Chanzo:http://www.dailymail.co.uk/news/article-2235993/Casey-Anthony-trial-How-investigators-bungled-evidence-convicted-Casey.html


pia:
http://en.m.wikipedia.org/wiki/Death_of_Caylee_Anthony
Nawatakieni Sikukuu njema ya Muungano.
 
duuuh mambo ya wazungu hayo bhana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…