tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,129
Kupoteza simu kupo na wengine wanazuga2,wakishakuchoka labda huna jipya au wanakuona unapoteza mda wao ukipiga huna lamana.
lakini kufuta ni suluhisho? Si bora umwambie ukwel kwamba hutak mawasiliano naye?mara nyingi huwa sio kweli huwa tunapoteza au ku renew namba za simu, hii hutokea kwa sababu maalum unakuta unaifuta namba ya simu ktk phonebook yako, hata mimi huwa ninafanya hivyo ninapoona mtu anakua msumbufu au anakua analeta mambo fulani ya kutangaza njaa kila wakati
paperwork will never end, keep a copy on your physical phone books, kitabu cha simu ni muhimu kuandika kila number ya simusm znapotea smtm na unakuta mtu mwngin hn tm nahyo mtu
Hii huwa inatokea sana, alafu mtu akipigiwa simu huwa zinakuja sababu za "nimerenew line" au "nimepoteza simu". Kumbuka hawa wafuta namba wengine ni marafiki tu. Ninachojiuliza> inawezekana watu huwa wanakuwa na malengo gani wanapochukua namba na kuifuta baada ya siku chache? Nawasilisha.
Kwa mtazamo wangu simu tunazitumia ili kuwasiliana na watu tunaowaona ni wa muhimu/msaada kwetu...
Binafsi nikimpigia mtu simu mara huwa najitambulisha hata kama tulishawahi kubadilishana namba...
Najua kuwa anaweza kuifuta au hata kutokuhifadhi namba yangu kulingana na anavyonichukulia..
Manake siya lazima ahifadhi namba yangu ilhali mimi ndiye nina mahitaji naye/kwake..
Hivyo siyo lazima sana kuhifadhi namba ya mtu wakati huoni kama kuna jambo linalokulazimu uwe nayo...
Hii huwa inatokea sana, alafu mtu akipigiwa simu huwa zinakuja sababu za "nimerenew line" au "nimepoteza simu". Kumbuka hawa wafuta namba wengine ni marafiki tu. Ninachojiuliza> inawezekana watu huwa wanakuwa na malengo gani wanapochukua namba na kuifuta baada ya siku chache? Nawasilisha.
mwingine utakuta hajai-save,, ukikaa kimya ndiyo imetoka hyo..wengine nyodo tu zinawasumbua, anadelete namba, nikigundua umenidelete nami na kudelete
kweli inaweza kutokea ukaiitaji. Mimi huwa nafuta nikigundua kwamba kuna one way communication.Mie sifuti namba ya mtu yeyote, huwezi jua mbeleni unaweza mhitaji kwa jambo fulani na kuanza kujuta