Unapogundua jina la mtoto wako

Nikigundua hiyo kitu basi ndio mwisho wetu! Its like sipo moyoni mwake!
 
Suluhisho ni kutoa majina ya babu na bibi wa watoto, au majina ya shangazi na wajomba na sio majina yasiyokuwepo katika koo zetu!
 

Yaani acha tu
Mi najiuliza, kwanini tusiwape watoto majina yenye uelekeo wa imani zetu.
Maana kumpa mtu jina la x wako kunaanza kuleta imani kwamba bado unam-feel kimapenzi (mfano tu)
Na inaleta picha pia bado uko nae kimapenzi
 

Kweli kabisa, kuna uwezekano mkubwa kwa hili kutokea.
Umemuita mwanao jina Suzana, then mtoto akakua na kuumbika kisawasawa kama Suzana mwenyewe . . . . unaanza kumjengea mawazo ya kishetani. Sasa ngoja na mtoto nae aje agundue jina lake ni jina la x wa mzazi wake, sijui mtoto atajisikiaje!!
Mweeee!!!

Sina ushahidi wa haya nisemayo jamani, ila naona kuna uwezekano wa kutokea mbeleni
 
Sikujua, Siyawezi, Majuto, Fikiri, Sikudhani, Pilli,Tatu............ do you mean these names?

Hapana, sidhani kama alimaanisha majina ambayo yana maana fulani yenyewe kama yenyewe pasipo kuangalia tabia ya mtu mwenyewe.
Unaweza ukaitwa hata jina la kiongozi wa dini au mtu mwingine yoyote safi kimatendo lakin bado ukarithi tabisa mbaya ya mzazi (kama mzazi alikuwa nayo)
 

Aiseeeee
Naona hili ni kama bomu la Jairo ambalo linasubili mlipuaji . . . .
 
Nikigundua hiyo kitu basi ndio mwisho wetu! Its like sipo moyoni mwake!

Daaah
Gagu, why umuache mwezi wako kwa sababu ya jina?
Kwani itakufanya ujisikiaje?
 
Hili si suluhisho....

Watu wanabadili majina wakiwa watu wazima kabisa, sembuse watoto . . . .
Kwani mtoto akipewa jina halibadilishiki . . ??
 
Badili hilo jina bwana sababu utamchukia mtoto wako wa damu sababu ya ujinga wa mama ake, kuna dada mmoja ameolewa ni mdogo wa rafiki yangu kajifungua mtoto kampa jina la mtoto wa x wake embu ona, kuna wasichana mafyatu sana,mume alipogundu dna ilifanyika na jina kubadilishwa kabisa sasa kwa vile alimkubalia mkewe kwa upendo tu ambatize kanisani kwake ameenda kafuta jina,anambatiza kanisani kwake ambako wanazamishwa majini..........mie huwa nachagua majina ya wanangu mwenyewe wala hana mchecheto huwa yeye anaweka lile la kiruga basi
 

sio fyatu,kuna kitu hyu ex alichomkoleza mpaka basi
na huyo ex akija kuomba kukumbushia,kama kawa....trust me
 
Hiyo ni kweli kabisa huyo mume si chaguo lake ila ni kama mwenye kiu ya soda na ela hana anaamua kunywa maji kwa vile hamna jinsi. Yani umzimikie ex mpaka na jina umpe naona ni sawa na kucheat tu inawezekana hata wakati wa mechi unavuta taswira ya ex.


sio fyatu,kuna kitu hyu ex alichomkoleza mpaka basi
na huyo ex akija kuomba kukumbushia,kama kawa....trust me
 

umeona ehh?
Halafu eti unafuta jina tu,na unaendelea
wakati hapo ni habari tosha kuwa mtu hayuko moyoni,unalazimisha...
 

Du how can one come up with such..................... is beyond me!!??? Anyways,what you have said, has no truth to it or whatsover.

CPU
Personally ,I am named after my father's university ex girlfriend. My mother knows this, I know it , infact my whole family is aware of this, and we do joke about it sometimes. Wazazi wangu met at uni so I reckon it was no biggy to ma, otherwise...............................................By the way, contrary to the quoted comment my father hajawahi kutaka kunibaka!?
 
Ameshakwambia sababu za kukupa jina la ex wake? Au kama hajawahi unadhani kwa nini amefanya hvyo?? Kama shukurani?? Ili asimsahau?? Mimi siwezi kukubali hicho kitu aisee.


 
Reactions: CPU
Daaah<br />
Gagu, why umuache mwezi wako kwa sababu ya jina?<br />
Kwani itakufanya ujisikiaje?
<br />
<br />
Mkuu hebu tuwe sawa ktk hili, nadhan mpaka hoja inaletwa moja kwa moja kuna walakini ndani yake. Mimi ningemuacha/nitamuacha coz akili yake huyu haipo kwangu, moyo wake upo kwa X wake..
 



Roho itaniuma namna gani?? Dah!
 

Gaga
Acha kabisa mkuu wangu
Watu wanaoana siku hizi basi tu ili wavae pete za dhahabu na almasi
Lakin mapenzi yapo kwa x wake, maana kafanyiwa mambo ambayo hataweza kusahau kamwe
 

Ila akijichanganya kidogo tu akalitaja hadi jina la ex wake wakati anaanza kukolezwa sijui itakuwaje . . . .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…