Mkuu hebu tuwe sawa ktk hili, nadhan mpaka hoja inaletwa moja kwa moja kuna walakini ndani yake. Mimi ningemuacha/nitamuacha coz akili yake huyu haipo kwangu, moyo wake upo kwa X wake..
Will you survive?
Du how can one come up with such..................... is beyond me!!??? Anyways,what you have said, has no truth to it or whatsover.
CPU
Personally ,I am named after my father's university ex girlfriend. My mother knows this, I know it , infact my whole family is aware of this, and we do joke about it sometimes. Wazazi wangu met at uni so I reckon it was no biggy to ma, otherwise...............................................By the way, contrary to the quoted comment my father hajawahi kutaka kunibaka!?
aaah jaman hebu tu thnk critically may b kampa jina hilo mwanae labda ni jina zuri tu na analipenda! Eg mtu anaweza kusema mm mwanangu akiwa wa kiume nitamuita calvin,
na bahati huko mbelen akapata bwana anaitwa calvin akawa nae kwa muda na baadae wakaachana binti akaolewa na alipopata mtoto akampa jina la calvin lakin si kwa ajili ya X wake hapana na jina tu alilolipenda tangu utotoni.

Watu wanabadili majina wakiwa watu wazima kabisa, sembuse watoto . . . .

Kwani mtoto akipewa jina halibadilishiki . . ??
Haya mambo yapo lakini. Kuna jamaa alisoma na hubby mwanae ana jina la binti nilyesoma nae mimi. Hubby aliwahi nambia kuwa jamaa alikuwa anamzimikia vibaya sana huyo binti ila sidhani kama aliwahi kumchukua. Hiyo stori alinambia wakati tuko wote college. Mume wangu hajuhi jina la mtoto wa huyo jamaa kwani they were not that much close na urafiki si wa kiivyo hasa baada ya kumaliza shule. Mimi najua kuwa mtoto wao ana jina la yule binti kwani nawafahamu wote huyo wife na binti mwenye jina. What I think ni kuwa mke hajuhi kuwa mumewe alikuwa amemzimikia mdada mwenye jina la binti yao. Siwezi kuthubutu kusema na najua mkewe hatakaa ajue.

Zaa nae mtoto mwingine nawe mpe jina la X wako pia! Ngoma droo!