Kama mwanamke hujamlipia mahari, kwao hawakujui ama mnajuana juu juu, hujakabidhiwa uishi nae, n.k. hasira za kulipiza kisasi unazotoa wapi kwa mali isiyo yako ???
Kuna jamaa yangu ameona. Pia ana mchepuko ambaye ni mke sa mtu. Siku moja kapata story kuwa mchepuko wake umeingizwa lodge na fala mmoja ambae siye mume wa huyo mchepuko. Jamaa s akaenda kufu.mania....