Ni vizuri katika hali kama hiyo kuvumiliana maana ukimu-ignore mwenzi wako ndio mwanzo wa kuanza kutafuta mambo mengine na visingizio kadha wa kadha jaribu kutafuta vacation somewhere pamoja na yeye au outing somewhere outside the cityvipi kwa wale wanandoa.
Unapendekeza wapeane likizo?
Sio kujilazimisha kuvumilia hiyo inakuja pamoja na nyie wawili kukaa chini na kumueleza mwenzake what are you feeling at that time kama ni muelewa atakuelewa vizuri ukikaa kimya tu hata kama ni mimi sitokuelewa its good to tell each other if your not in the mood or your not okay itamsaidia mwenzako walau atajitahidi kutafuta something that will cheer you up.nijilazimishe kuvumilia huku naona nafsi haifurahi?
Sio kujilazimisha kuvumilia hiyo inakuja pamoja na nyie wawili kukaa chini na kumueleza mwenzake what are you feeling at that time kama ni muelewa atakuelewa vizuri ukikaa kimya tu hata kama ni mimi sitokuelewa its good to tell each other if your not in the mood or your not okay itamsaidia mwenzako walau atajitahidi kutafuta something that will cheer you up.
Sometimes mazingira pia yanachangia just imagine kila siku unaamka asubuhi unaeenda kazini unarudi jioni unakula unaangalia TV unaenda kulala, the next day same routine karibia mwaka mzima hamujawahi kwenda mbali zaidi ya hiyo nyumba mnayoishi zaidi ya kwenye harusi na kumbi starehe which is the same routine ya weekend.ni vipi utaenjoy wakati ushamchoka?