Unapojishusha ni ili watu wakuonee huruma, unawaona wachawi au ni ushamba tu?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Unajua au unamkuta kabisa Mtu anajenga Nyumba yake nzuri tu na Kubwa halafu utamkuta anamwambia Mtu kuwa nilikuwa site najenga Kakibanda Kangu au nilikuwa najenga ka Kimjengo kangu.

Sasa unavyojishusha Kwetu ni kwamba tukuonee Huruma au unatuona Sisi Wachawi / Wanga au ni Ushamba tu unakusumbua?
 
Waswahili ndyo hao ambao huambiwa maneno hayo kwa kuogopa uchawi na wanga
 
mshamba
 
You need Jesus.
 
Inapendeza ukasema kakibanda ndiyo na mtu akija anakutana na nyumba haswa tabia ya kujikweza ni mbaya sana na huvutia vitu vingivibaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…