BenElohimy
Senior Member
- Sep 21, 2021
- 181
- 222
Ndugu zangu wa JF habari za asubuhi.
Napenda kukumbusha au kukwambia kwamba ili utimize kile ulichonacho, au kile unachokitafuta lazima uwe na maono. Kuna mambo ambayo watu wengi hupenda kuyatimiza lakini watu huruka hatua.
Mfano ndoa, huwezi fika kwenye ndoa, kama haujaanzia kwenye urafiki, uchumba kisha ndoa, hizi habari za kukutana kutana siku mbili binti ushavuliwa chupi na mwanaume ushafungua zipu wewe hauna au yeye hana maono ya kuwa kwenye ndoa na wewe, ila wote mnataka kutumiana tu.
Unapokuwa na maono lazima ukitunze na kukipa muda kile unachokipenda. Lakini leo watu kusafiri kidogo tu mbali na mpenzi wake anaanza kumCHEAT, wewe hauna maono.
OA AU OLEWA NA RAFIKI YAKO.