Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,217
- 3,694
Kwa wale vijana wenzangu mnaofanya kazi kwa dunia ya leo inavyokwenda unapokuwa na kazi hakikisha kwa pembeni una biashara yako au kampuni yako ya itayokuwa inakupa kipato.
Mambo ya makazini hayaeleweki muda wowote unaweza kupigwa chini hivyo unapokuwa unapata mshahara na viposho posho hakikisha unavitumia kutengeneza kitu cha pembeni cha kukupa kipato tofauti na mshahara hata kesho na kesho kutwa ukipigwa chini bado una sehemu ya kujishikiza ambayo itakuwa inakusaidia kuendesha familia yako na maisha yako.
Nazungumza hivo kwa sababu kuna brazaa hapa napofanyia kazi kapigwa chini kazini alafu ana familia na hana issue yoyote ya kumuingizia kipato na kazini ana muda mrefu sana kidogo.
Huko alipo akili haijakaa sawa kabisa.
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app