Kyenju
JF-Expert Member
- Jun 16, 2012
- 4,632
- 1,773
Wengine watafikiri labda nimepotea njia, hapana, ila napenda kutoa angalizo kwa wanao/watakaokwenda kuhubiri injili pande za uhayani wasije wakashutuka mara baada ya kulitaja neno lenye herufi 4.
Biblia inasema wana wa Islael wakati wakitoka Misri kwenda Kaanani, wakiwa jangwani walikula Mana. Sasa hili neno "mana" kwa Wahaya ni neno la faragha likimaanisha maungo ya mwanamke (uke).