Unapologetically Kenyan street music

Outta Umojamaica Prrrrr Kang Kang Banana,
ninayo bas Tunabakana,
hapo nyuma na sidika Mnafanana,
maana kila day bana Unaitangaza,
katangaze basi baby Si hupandana,
panda panda Si hupandana,
katangaze basi baby Si hupandana,
panda panda Si hupandana

eeh Madibala nazimanya, nika niko ndonyo Nikidungi nimepaka na itachoma mboto Nikidudu nikinyanya napoteza toko zikidundi,
zikinyanya nazipeleka soko Kando ya tapo,
machapo mpaka itoe dodo Pigwa finger na kidole kimejaa mangoto Nayo theo hapana na lock, tunapiga koto Sampe gwara lock,
tupa ka ana joto Banana,
ninayo bas Tunabakana,
hapo nyuma na sidika Mnafanana,
maana kila day bana Unaitangaza,
katangaze basi baby Si hupandana,
panda panda Si hupandana,
katangaze basi baby Si hupandana, panda panda Si hupandana


joto la jiwe njoo uone vile wanamuziki wa Kenya wanaitusi Tz...lakini sidhani utaelewa chochote.
 
Hata wale wa machalii wa R wako na afadhali, Hii naona ni Kimasai sio Kiswahili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…