unapomsikia dadaako ana........, noumer sana.

zimwimtu

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2012
Posts
1,988
Reaction score
1,095
Ni kisa cha kweli….
Jamaa ana mke na kimaisha si haba, kajaliwa kupata vijisentkadhaa.., so kaona ni bora kuwainua ndugu kielimu. Kamuita mdogo wake pamoja nashemeji yake (wa kiume) na kawapeleka shule moja ya day hapa mjini daslam. Vijana hao wawili wakiwa sebuleni wanajisomeausiku ( mida ya saa 6 hivi) jamaa kaanza kuburudika na mkewe, burudani heavympaka sauti zinafika sebuleni. Mdogo wake mme kaanza kucheka, bt mdogo wake mkekakasirika kaanza kumpiga anaecheka!!!. Mme ikabidi asitishe gem kaja sebulenikujua kulikoni baada ya kusikia vurugu.
Kuwauliza hakuna mwenye jibu kwa nini wanapigana.

The next day, mdogo wake mme katoboa siri ya ugomvi wao,kuwa “tulisikia makelele yenu usiku, mienikacheka ila mwenzangu kakasirika ndotukaanza kupigana”.
Huyu jamaa afanye nini kum-please shemeji yake, coz badohawaelewani na mwenzie. Hata shule wanaenda kila mtu kivyake!....
Ushauri tafadhari……
 
am-please shemeji yake ili iweje? awaambie wasiwafuatilie
 
ampe mambo tu nayeye! labda alimhusudu!:A S embarassed:
 
Jamani unapojiunga jaribu hata kuvuta pumzi kidogo! changia changia mabandiko ya wengine! leo leo na stori ya kitoto toto! manake nkisema ya kutunga ntakua sijakutendea haki!
 
Hakuna haja ya kum-please,hiyo ni starehe yao.Sidhani kama mimi ninafanya starehe zangu halafu mtu anachukia kuhusu hilo;inakuwa haina maana kwani huyo aliyekasirika yeye nani huwa anambugudhi katika mambo yake?Kama siyo wivu wa kijinga tu.
 
Ina maana hawafahamu kuwa humo chumbani wanalala mume na mke? Huyo Jamaa awaambie wote wazingatie kilichowaleta mjini. Lakini na wewe umejiunga leo tu, na kuleta story ya watoto.
 
sio mimi dadaa, is this my workmate...
 
mdogo mtu(mme) naye ampe mchezo mdogo mtu (Mke) mambo yakakuwa sawa, hao wakiwa chumbani wao sbuleni inakuwa ngoma droo
 
shemejiii hanaa heshimaaa yani anamjigi jigiii sister wakati anajuaa hatujaa lalala,ndo nomaaa ya kukaa kwa shemejiii.
 
dada ndo mwenye makosa kwa nini alizidiwa hadi akatoa kelele kubwa wakati alijua watoto bado hawajalala!
 
Maisha ya siku hizi taabu kweli maana hakuna siri wala staha wakati wa kufanya tendo la ndoa,mtu unajua fika kabisa watoto wapo na unajiachia utadhani mnaishi peke yenu!
Kwa tabia hii maadili yanazidi kupotea na mwisho wake ni vijana na watoto kuathirika na baadae wazazi tunaanza lalamika wakati ndio chanzo cha matatizo.
Suluhisho ni kubadilisha mfumo mzima wa kufanya mapenzi ili kutoumiza wengine.
 
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ngoja nicheke kwanza aisee.....du!!!
 
Dawa yao jamaa na mke wake wasepe,hata wik 1,akirud mambo yetu yaleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!

:help::help::help::help:
 
mdogo wa mke ahame hapo home :alien: au aombe apelekwe boarding school :alien: LAKINI NA WAO KWANINI WALIKUWA WANA-DO KWA MASAUTI :yawn: ILI WAMKERE??!! :alien:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…