johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Jana nilishtuka baada ya kumsikia aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai na Mwenyekiti wa Kamati ya ulinzi na usalama wa eneo hilo akidai kuwa kesi yake ya Uhujumu uchumi ni ya "Kutengeneza"
Nabaki najiuliza kumbe kuna kesi halisi na kesi za Kutengeneza?
Kwa wadhifa aliokuwa nao Ole Sabaya serikalini najikuta nalazimika kumuamini.
Kama Ole Sabaya anaweza kutengenezewa kesi inakuwaje kwa wapinzani kama akina Freeman, Sugu na hata yule Dude wa Songwe?
Dunia inaenda kasi sana kuelekea mwisho wake.
Maendeleo hayana vyama!