johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwahiyo kesi zote ni halisi hakuna za Kutengeneza?Maana yake wale waimba mapambio wamemtoroka na yupp pekee yake akivuna matunda aliyopanda kwa mikono yake menyewe🤔
Nimeamka Muroto alipostaafu!We ndio umeamka leo?
Duh.....nimekuelewa kwa lazima bwashee!Sasa unajiuliza nini? Hata wewe hujui ukitaka matajiri wafate haki Kwa kulipa kodi ya kiwango chao hawapendi na watakutafutua kila namna ya kukuumiza kupitia watu wako hao hao Kwa nguvu ya pesa, ukitazama kesi ya Sabaya Kuna kitu unaona, ukitazama VIFO vilivyo tokea ktk uongozi mpaka ngazi ya juu kwa Hayati unaona wazi Kuna muda tulivamiwa kama nchi, either na wageni au wenyeji wenye uchu wa madaraka na pesa au vyote
Hahahaaaa........!Pia asisahau kuna kesi za kujitengenezea kama hiyo yake.
Matendo yake pale HAI ndyo yameacha makovuKwahiyo unakubali kuna kesi za Kutengeneza!!
Vipi Mbowe yeye?Maana yake wale waimba mapambio wamemtoroka na yupp pekee yake akivuna matunda aliyopanda kwa mikono yake menyewe[emoji848]
Matendo yake ndio yamesababisha atengenezewe kesi?Matendo yake pale HAI ndyo yameacha makovu
Kauli zake pale HAI ndizo zimeleta sintofahamu leo...
Kufungwa bila kesi kwa mujibu wa katiba gani bwashee?Huyu alistahili kufungwa hata bila kesi aache kutuchezea akili.
Kwasababu amezoea kutengenezea watu kesi basi anaona na yeye wamemtengenezea. kesi za kutengeneza haziwezi kuwa na ushahidi wa cctv camera