Unapomsikia Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama mstaafu Ole Sabaya akidai kesi yake ni "ya Kutengenezwa" unajifunza nini?

Maana yake anavuna alichopanda. Na la pili ni kuwa kila mmoja ana uhuru wa kusema atakavyo ilimradi......

Hata hivyo muongo ni muongo tu, ila waliopo madarakani wajifunze, hasa vijana....
 
Kwanini unamtaja Mbowe?
Mbunge wa Hai alikua nani?

Na Sabaya alikua DC wapi?

Mbowe aliambiwa uchaguzi ule hawezi kushinda kabla kura hazijapigwa na aliambiwa na askari.

Sasa unahitaji PhD kujua uhusiano wa maovu ya Sabaya , CCM kiujumla na polisi?
 
Mbunge wa Hai alikua nani?

Na Sabaya alikua DC wapi?

Mbowe aliambiwa uchaguzi ule hawezi kushinda kabla kura hazijapigwa na aliambiwa na askari.

Sasa unahitaji PhD kujua uhusiano wa maovu ya Sabaya , CCM kiujumla na polisi?
Kwahiyo ni kweli Ole sabaya alitaka kufanyiwa ugaidi na mbunge?
 
Konda nishushe kituo kinachofuata.
 
Ibilisi anapotamalaki ni shida. Tuombe kama taifa tusijepata viongozi wa dizaini ya awamu Ile mana kilikuwa kituko.
 
Alistaafu kwa kupelekwa mahakamani?
 
A little too late to catch up the moving train......

Ajibebe tu hakuna namna
 
Kipimo unachopimia wengine ndio kipimo hicho hichi kinakusubiri.
 
Mkuu hoja yako ni nzito sana,,,,kwa kweli kuna jambo kubwa limetokea mwaka uliopita na kama tungekuwa watu makini, lazima tungefanya uchunguzi kwa vifo vya viongozi waandamizi wa kitaifa
 
Kwahiyo ni kweli Ole sabaya alitaka kufanyiwa ugaidi na mbunge?
Ugaidi gani?
Uliwahi muona Mbowe hata na bastola hadharani?

Sasa huyo Sabaya wenu aliyekua hadi na bunduki mafunzo alitoa wapi?

Jione hapo huyo jambazi wenu katika koti la UDC..

MATAGA hamna aibu naona hapo mlijisahau kutoa CCTV kamw kwa Lissu sababu ya ushamba..
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…