Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
pale unapomtambulisha mwanamume mwenye sura mbaya ,jamani huyu shemeji yenu msimuone hivi ana hela huyuuu
ahaaaa shosti yule dokta si ulinitambulisha hivo au?hahahahahahaahahahahahah
hahaha, yule ni "mrembo" ujue hahahahah, au kwa vile ulimuona alivyo mweusi kidogo, mie napenda sana weusi. hahahahahahaahaaaa shosti yule dokta si ulinitambulisha hivo au?
uliniambia kabisa aaaha eti ni dokta tena ni mgombea wa viti maalumu ahaaaaaaahahaha, yule ni "mrembo" ujue hahahahah, au kwa vile ulimuona alivyo mweusi kidogo, mie napenda sana weusi. hahahahahaha
hahaah, ila shost umenivunja mbavu!!!uliniambia kabisa aaaha eti ni dokta tena ni mgombea wa viti maalumu ahaaaaaaa
ahhaaaaa mi sijui bna mi nilifata tu maagizo yakohahaah, ila shost umenivunja mbavu!!!
wanaume hawana viti maalum hahahah
yeye alikuwa anagombea ubunge kama wa MASHA wa EALA hahahahahahah lakini jina lake halikuingia hata wenye 400 bora wa CCM maana walikuwa lundo
Sura mbovu ikoje???? We mwenyewe ukienda nchi za wazungu unaambiwa una sura mbaya kama ya nyani na ghafla unapewa ndizi mbivu [emoji12] [emoji125]*[emoji5][emoji5][emoji5]PALE UNAPOTAKA KUMTAMBULISHA GIRLFRIEND WAKO AMBAE SURA MBOVU LAKINI ANA MAKALIO MAKUBWA UTASIKIA"SIMAMA BASI SHEMEJI ZAKO WAKUONE.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]*
hahahahahahahah*[emoji5][emoji5][emoji5]PALE UNAPOTAKA KUMTAMBULISHA GIRLFRIEND WAKO AMBAE SURA MBOVU LAKINI ANA MAKALIO MAKUBWA UTASIKIA"SIMAMA BASI SHEMEJI ZAKO WAKUONE.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]*
Halafu wazazi wanakujibu "haina shida kikubwa ni upendo tu"pale unapomtambulisha mwanamume mwenye sura mbaya ,jamani huyu shemeji yenu msimuone hivi ana hela huyuuu
dada hata mi ni mweus utanipendahahaha, yule ni "mrembo" ujue hahahahah, au kwa vile ulimuona alivyo mweusi kidogo, mie napenda sana weusi. hahahahahaha
Acha kudharau alama za uandishi mkuu,hizo star na quotation symbols naona zimekuwa binamu wako.*[emoji5][emoji5][emoji5]PALE UNAPOTAKA KUMTAMBULISHA GIRLFRIEND WAKO AMBAE SURA MBOVU LAKINI ANA MAKALIO MAKUBWA UTASIKIA"SIMAMA BASI SHEMEJI ZAKO WAKUONE.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]*
Mbona povu mkuu ... ushatambulishwa nini?Acha kudharau alama za uandishi mkuu,hizo star na quotation symbols naona zimekuwa binamu wako.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]pale unapomtambulisha mwanamume mwenye sura mbaya ,jamani huyu shemeji yenu msimuone hivi ana hela huyuuu
[emoji377] [emoji23] [emoji23]Mbona povu mkuu ... ushatambulishwa nini?
hahahahaahhahahahdada hata mi ni mweus utanipenda