Unapomuoa mwanamke ambaye tayari amezaa, ameolewa,

Mmh kama wewe ndo mshindi hayo mengine unatakiwa kuyapotezea.. especially sifa unazosikia juu yake!Hata usipomjua haipunguzi uhalisia!
 
Wandugu hivi unapomuoa mwanamke ambaye amezaa/alishaolewa na mwanamume mwingine, huko mbele ya safari hukumbuki alichokuwa anakifanya KITANDANI NA MUME mwenzio na kuona umepotea!!!!

alichokuwa anakifanya ndicho anachokufanyia. Unataka nini tena?
 
Mada nyingine bana,haya mi nilikuwa naye na alikuwa tayari na watoto wawili wakubwa tu na mwingine alikuwa na watoto kama wanane na wote wawili walikuwa wameachika lakini ile ya mwenye watoto wanane ndio ilikuwa bomba kiasi cha kunifanya nikaribie kutangaza ndoa.
 
tabia mbaya hiyo!! kwani aliyeolewa anatatizo gani? au aliyezaa anashida gani? sioni tatizo?
 
Mimi bado sielewi kabisa!
Kilichokufanya uvutiwe naye ni kipi? Hukujua hayo? Au hicho kinyaa kimeumbiwa wanaume tu? Na mwanaume aliyeoa/kuzaa je?
Kabla ya kuoa/kuzaa hakuwa na mahusiano mengine? Au kuna alama imebaki?
 
umekulia wapi ww? ilitakiwa uanzie kwenye pigo za mande aka mtungo au hukusoma secondary za mjini? hapo ungekuwa hukumbuki chochote hata ukioa mwanamke ambaye alishaolewa!!!!!!!!!!!
 
mm nadhani ni hisia mbaya tu, kwani mnapokutana kuna vitu mnakubaliana halafu ndiyo mnafunga ndoa . ma mpk mnafunga ndoa hiyo unakuwa unajua kila kitu . sasa sidhani kama mtakuwa mnapendana na luelewana na kuheshimiana , ukakumbuka ya nyuma.
 
Wandugu hivi unapomuoa mwanamke ambaye amezaa/alishaolewa na mwanamume mwingine, huko mbele ya safari hukumbuki alichokuwa anakifanya KITANDANI NA MUME mwenzio na kuona umepotea!!!!

Sasa unataka ukumbuke alichokuwa anakifanya ili iweje? wewe ni bikira? na hata kama wapenzi ulikuwa nao,mliyoyafanya si mnajua nyie wenyewe?!!..Au wewe kuna mambo mabaya ulifanya unajiuliza kama wengine wanafanya?
Mwisho wa siku, the choice is yours ila acha kuhukumu watu kwa mambo ambayo hayajawahi kukuhusu!!...
 
Sasa kati ya mwanamke ambaye amekuwa na mwanamme mmoja tu maishani mwake, maana mumme wake aliyeachana naye baada ya kuwa na mtoto, na mwanamke ambaye hajaolewa wala kuzaaa lakini kashaenda chini na wanaume 200, yupi ana afadhali ?

Umeuliza vema sana Kiranga, naomba niongezee hivi, ukute huyo ambaye alishaolewa nakuwa na mtoto ana wewe peke yako, huyo mwingine anawamiksi wanaume kama wanne hivi na kuaboti kila mwezi, acha kabisa haya mambo
 
Utakufa siku si zako..........ukimaliza kumuwazia mkeo utaanza na kwa mama yako!
 
Apart from obsession with the supernatural, there is a proven obsession with unjustifiable sexual chastity among poverty stricken societies.
Power relations in any given society. Societal gender in- equalities are among the factors informing the power relations of the intimate realm it is only disempowered poverty stricken women.
 

Hahahahahahahahaaa paka mweusi umetoa kali, watoto nane???
 
Wandugu hivi unapomuoa mwanamke ambaye amezaa/alishaolewa na mwanamume mwingine, huko mbele ya safari hukumbuki alichokuwa anakifanya KITANDANI NA MUME mwenzio na kuona umepotea!!!!

Ushamuoa umemchoka sasa unamtafutia vijisababu. acha hizo ondoa mawazo mabaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…