KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
I miss you KJ
Changa la macho, ungekua wewe ungenijibu I miss you 2,wakati hujawahi kunifikiria.
Acha uongo umeingia rohoni mwangu?? Umejuaje au wewe ni sheikh Yahaya nini
acha uongo umeingia rohoni mwangu?? Umejuaje au wewe ni sheikh yahaya nini
Kaka j wewe bina ukitex mpenziwako uka weka hiyo Imiss u halafu yeye akajibu SMS yako bila kuweka HI Im u2 utajiskiaje kiukweli na mtu wako unaempenda kimoyo sio wjujuu
Mh na wewe una lako jambo. mi nikiambiwa i love u huwa najibu i love u more ... mic u najibu mic u mo au i was about to tell u the same bb halafu unganisha hapohapo by the way how r u!
I miss you,,naye akakujibu I miss you too au
I love you,, naye pia akakujibu I love you too,,
Naona kama amekuiga tu,,alikua wapi kukuambia in the first place, mpaka ukampigia au ukam-text?
Ivi haya mazoea ya,,,I miss,or luv u too hayana udhati wowote? au ndo ka ile,, say yes to please the full!.
Mbona tayari huwa umeshajitune kuwa utajibiwa vile?
kama ni mazoea tu kujibu, iwaje ujifariji kuwa mwenza wako naye amekumisi au anakupenda while jibu lilikua obvious?
Mi demu wangu au mtu yeyote akinijibu I mic you too huwa kimoyomoyo najua nazugwa tu.
Bora wewe unaepata I MISS YOU TOO au I LOVE YOU TOO
kwa wengine mpaka umkumbushe, na hata hivyo atakujibu AAAH NILIACHA SIMU CHUMBANI NILIKUWA NAOGA
na majibu ya staili hiyo ni kila siku