Unapoona picha kama hii huwa unawaza nini katika akili yako?

Ile hali ya kupizi inapimwa kwa kifaa kinaitwa synapsis reflex orgasm.....
Wanasema ile hali anayopata mtu mda wa kupizi ni 300^-34rex .....

Ile feeling unayopata baada ya kuonana na mtu ambaye unampenda ni 43^-22rex

Mtu anapotolewa uhai pale mwishoni mwoshoni 316^-30rex

Hii ya teja nipe mda natafuta hapa mkuu
 
Tafuta tuone kama ni kweli
Yaani mpaka sasa hivi sijawah kuona au kupata au kuhisi kama kuna furaha /raha zaidi ya climax kwa kweli
 
HipHop bila madawa inawezekana.

Inasikitisha sana ila wengi wanaingia kwa kudanganyana vijiweni kwamba ukipiga kitu cha pele yaani "old Trafford" mandonga mtu kazi show show lazima aombe maji.

Wengine wanapigiwa kitu cha cocktail wakiwa vijiweni...wanamixiwa msuba na kitu cha pele bila wao kujua mpaka akija kustuka yupo addicted.
 
Kataa Ndoa ndio wanaotuzalia vyuma kama hivi...

Ndoa hawataki ila kuzaa zaa hovyo na kutekeleza wako mstari wa mbele
 
Nacheka sana ila sio kwa furaha.

Nikitazama picha naona viwalo vyote vimetoka nchi za nje, nguo, malapa, kaptura, t sheti, mpaka sindano, na hayo madawa kwenye syringe, vyote wametengeneza Wazungu. Inaskitisha
👇🏿
 
naokoa pesa
sipati UTI
sipati Gono
sipati MPox
sipati HPV
sipati Herpes
sipati Pangusa
ARV nazisikia kwenye bomba
Jidanganye tu. Muda ni jibu tosha, endelea kujiokoteza na kujipanga kimaisha.

Hakuna mwanaume mtu mzima na rjali anayesimama na kujivunia kupiga punyeto. Kuna shida sehemu.
 
Ni safari ndefu sana hiyo na ni vita Kwa upande mwingine Kwa maana shida si hao ni kwanzia wanaozingiza chini mpka kuwafikia hao, ni cheni Yani watu wengi....mbaya zaidi wakiwa addicted ni ngumu kurudi kwenye Hali ya kawaida japo inawezekana. Ila inahitajika uwe na uwezo kuanzia wa kiuchumi,kwaajili ya malazi,dawa na hata kulipia gharama nyingine kama madaktari n.k....Wazo naimani Kuna siku utalikamilisha lipambanie kumbuka tu utapigwa sana vita kwenye Hilo....Kila la kheri.
 
Haya ni matokeo ya kuwatelekeza drop outs after standard 7 ambao ndiyo wengi zaidi kuliko walioendelea na masomo
Mmoja wapo tu wa visababishi, sio chanzo kikuu.

Mmoja wa Msaada mkubwa wa watu wa aina hii pia ni kuwakumbusha kwamba ni Wao binafsi wenye majukumu ya kuyalinda na kuyajali maisha yao huku wakipambana kuhakikisha Mazingira (situations+circumstances) haya take over control.

Kwamba jukumu la ubora ama uhafifu wa Maisha yao ni Lao wao binafsi hata Kama wamezaliwa pasipo hiyari yao, and that’s real life.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…