Unapoosha injini kwa mpira au jet washer kipi hakitakiwa kuloweshwa?

Unapoosha injini kwa mpira au jet washer kipi hakitakiwa kuloweshwa?

Safisha kwa kitambaa kibichi tu taratibu. Wanaooshea mpira tatizo wanataka kuosha haraka haraka. Hapo mbele pako sensitive sana. Kuna baadhi ya sehemu insulation zimechakaa especially haya magari yetu ya 2002 haya. Kwahiyo better ukawa unasafisha kwakotambaa taratibu tu.
 
Wakuu naomba msaada kwa anaejua,

unapoosha sehemu ya mbele ya injini,ni vitu gani havitakiwi kuloweshwa na maji,,msaada please mi najua tu alternator.

Gari yangu ni Toyota Noah.

Ukifunika Alternator tu... the moment unamaliza kuosha gari haitowaka.

Engine ya petrol ina sensitive parts nyingi sana.

Kama upo dar peleka tu kwa wale washkaji wanaoosha engine.

At least wao hawapigi presha kama watu wa car wash wana namna yao ya kuosha.
 
Safisha kwa kitambaa kibichi tu taratibu. Wanaooshea mpira tatizo wanataka kuosha haraka haraka. Hapo mbele pako sensitive sana. Kuna baadhi ya sehemu insulation zimechakaa especially haya magari yetu ya 2002 haya. Kwahiyo better ukawa unasafisha kwakotambaa taratibu tu.
asante mkuu,kwa ushauri..
 
Hapo mbele kuna mifumo ya umeme ambayo kuna miunganiko isiyohitaji kugusana na maji, mfano tu unaweza ukauunguza fuse ya horn n.k, au ukaunguza alternator
 
Osha uwezavyo...hakikisha maji hayaingii kwenye alternator na swhwmu nyingine zinazohusiana na umeme....
Ni bora utumie kitambaa kama huna uzoefu....mimi huwa naliogesha kwa ndoo kawaida..

I know my car[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 
Back
Top Bottom