profesawaaganojipya
JF-Expert Member
- Apr 21, 2015
- 1,595
- 3,416
AlternatorWakuu naomba msaada kwa anaejua,unapoosha sehemu ya mbele ya injini,ni vitu gani havitakiwi kuloweshwa na maji,,msaada please mi najua tu alternator,gari yangu ni toyota noah...
Wakuu naomba msaada kwa anaejua,
unapoosha sehemu ya mbele ya injini,ni vitu gani havitakiwi kuloweshwa na maji,,msaada please mi najua tu alternator.
Gari yangu ni Toyota Noah.
asante mkuu,kwa ushauri..Safisha kwa kitambaa kibichi tu taratibu. Wanaooshea mpira tatizo wanataka kuosha haraka haraka. Hapo mbele pako sensitive sana. Kuna baadhi ya sehemu insulation zimechakaa especially haya magari yetu ya 2002 haya. Kwahiyo better ukawa unasafisha kwakotambaa taratibu tu.
shukrani mkuuUkifunika Alternator tu... the moment unamaliza kuosha gari haitowaka.
Engine ya petrol ina sensitive parts nyingi sana...