Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,087
- 16,036
Aisee nmejigundua nna tabia moja mbaya sana, yaani nikipata hela fulani (naongelea kwa mimi bachela ambaye sina hata mtoto wa kusingiziwa)
Yaan nikipata tu cha kwanza nikitoa mambo mengne nayofanya na muhimu
Yaani nikipata tuu hela huwa nawaza kutafuta ule mchepuko ambao ulikuwa kwenye process yaani nisiongee sana huwa nawaza kuspend kwenye uzinzi
Though huwa sitekelezi hayo. Yaani unakuta ok sasaaa ngoja nimchek .....halafu baadae naghairi nasema napoleone ache ubwege, acha ulimbukeni na pesa
Then naghairi...tho sometime huwa naanguka kwenye dhamb ila ndo hvyo...baada ya uzinz sasa..ndo akil huwa inakaa sawa..sasa uwekezaj huendelea
Najua hii ni tabia mbaya na ya kimaskin ila kiukwel hilo ndio wazo langu la kwanza...yaan nitimize hyo raha...njia kuu yeye yupogo tuu...ila
Uzi tayar....
Mapemaa leo narud zangu. Sijiskii vzur leo