Unapopata hela wazo lako la kwanza la matumizi huwa nini ukiacha mambo muhimu

Napoleone

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2012
Posts
10,087
Reaction score
16,036
Aisee nmejigundua nna tabia moja mbaya sana, yaani nikipata hela fulani (naongelea kwa mimi bachela ambaye sina hata mtoto wa kusingiziwa)

Yaan nikipata tu cha kwanza nikitoa mambo mengne nayofanya na muhimu

Yaani nikipata tuu hela huwa nawaza kutafuta ule mchepuko ambao ulikuwa kwenye process yaani nisiongee sana huwa nawaza kuspend kwenye uzinzi

Though huwa sitekelezi hayo. Yaani unakuta ok sasaaa ngoja nimchek .....halafu baadae naghairi nasema napoleone ache ubwege, acha ulimbukeni na pesa

Then naghairi...tho sometime huwa naanguka kwenye dhamb ila ndo hvyo...baada ya uzinz sasa..ndo akil huwa inakaa sawa..sasa uwekezaj huendelea

Najua hii ni tabia mbaya na ya kimaskin ila kiukwel hilo ndio wazo langu la kwanza...yaan nitimize hyo raha...njia kuu yeye yupogo tuu...ila

Uzi tayar....

Mapemaa leo narud zangu. Sijiskii vzur leo
 
Wewe nani alikudanganya kuwa kuzika hela kwenye mbususu ni tabia ya kimaskini as long as hiyo ndio starehe yako. Mbususu zenyewe zilivyo na bei siku hizi....kusasambua mbususu ni tabia ya matajiri bwana
 
Wewe nani alikudanganya kuwa kuzika hela kwenye mbususu ni tabia ya kimaskini as long as hiyo ndio starehe yako. Mbususu zenyewe zilivyo na bei siku hizi....kusasambua mbususu ni tabia ya matajiri bwana
Asante mwenyekiti
 
As a soja kky vipaumbele ni!
WWW.@kitimoto!
W=WHISKY!
W=WOMAN!
W=WAR!
 
Pesa Kama shingapi yaani
Tufafanulie kiwango Kama Ni mshahara tujue

Maana Kuna wengine hata 30000 tunachanganyikiwa
5000 chako Ni chako kwa dada zenu
4000 double kick/kitoko
4500 Kilimanjaro tatu
1000 stick
200 Kali 500 Winston

Inayobaki nasherekea na walevi wengine...kesho hata ya supu Sina...Hili life *****
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…