brave Mwafrika
JF-Expert Member
- May 2, 2019
- 247
- 135
Mimi ni mwanafunzi wa kadato cha pili nauliza unapopewa swali la kuandika insha Kama ya watoto wa mitaani kwa maneno yaaiyo zidi 120, mambo yapi ya kuzingatia katika uandishi🙏
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ongeza juhudi na bidii bado uko mbali dogo. Usipende kila kitu kutafuniwa hangaika kwanzaMimi ni mwanafunzi wa kadato cha pili nauliza unapopewa swali la kuandika insha Kama ya watoto wa mitaani kwa maneno yaaiyo zidi 120, mambo yapi ya kuzingatia katika uandishi[emoji120]
Ongeza juhudi na bidii bado uko mbali dogo. Usipende kila kitu kutafuniwa hangaika kwanza