Mimi ni mwanafunzi wa kadato cha pili nauliza unapopewa swali la kuandika insha Kama ya watoto wa mitaani kwa maneno yaaiyo zidi 120, mambo yapi ya kuzingatia katika uandishi๐
Mimi ni mwanafunzi wa kadato cha pili nauliza unapopewa swali la kuandika insha Kama ya watoto wa mitaani kwa maneno yaaiyo zidi 120, mambo yapi ya kuzingatia katika uandishi[emoji120]
1. intro = 60
2. Main=60
3.Conclusion=60
๐๐๐๐๐๐๐,
Nakutania tu , Amka kijana, safari bado ni ndefu,
Je ukifikia level ya kuambiwa uandike project ya maneno 10,000 itakuwaje....