Mie huwa najisemea huyu fala ananisumbua bure tu wakati Hana hata akili, ona wenye akili zao wanavyoinjoy na wake zao[emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
"sio bure...atakuwa fremasoni huyu"Mm Husema One Day Yess Ipo Siku Tu Nami Nitakuwa Mmoja Wa Wamiliki
Mungu Bariki Strugglers zangu
Nasepa zangu Haya VP ww Husema Maneno Gani [emoji2][emoji2]View attachment 1365466
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii nyumba ukichukulia mkopo bank usipitishe Siku maana wajamaa watatoa tim mapema sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilienda kupanga ununio beach for inspiration purposes kabla mbunge hajawa rais, but when the new slave master came into power ndoto zangu zote ziligeuka kua nyevu ila sijakat tamaa lazima nione bahar in my backyard, Amen.
Mi huwa nakata tamaa hasa nikikuta walioyajenga wamekufa na walioachiwa wamekuwa ombaomba na wavuta bangi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mie huwa najisemea huyu fala ananisumbua bure tu wakati Hana hata akili, ona wenye akili zao wanavyoinjoy na wake zao[emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaaa nimeipenda hii eti kabla ya mbunge hajawa rais🤣🤣🤣🤣
Jidanganye. Hao wote ni wevi, wazulumati, washirikina, Mafisadi, manabii wa uongo, majambazi, walozi, matapeli, wauza unga, wafuga majini, nk. Endelea kusema one day yes.
Sent using Jamii Forums mobile app