secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
rekebisha hii au unaleta mzaha kam kawaida, tujue kabla hatujaumiza akili kumpa mbwa chakula cha watotobwana yesu asifuwe!
Typing error mkuu.rekebisha hii au unaleta mzaha kam kawaida, tujue kabla hatujaumiza akili kumpa mbwa chakula cha watoto
uliyebaki na common sense unakipi cha kuwaambia?Common sense ni kipaji ambacho walokole wengi walishaamua kukiweka pembeni.
Unaposoma Biblia tumia akili, simple!uliyebaki na common sense unakipi cha kuwaambia?
Kweli kabisa mkuu. Kuzini kungekuwa kosa basi mtoto apatikanaye kwa njia ya kuzini moja kwa moja angekuwa haramu.Common sense ni kipaji ambacho walokole wengi walishaamua kukiweka pembeni.
ushasoma chapteriii ngapi mkuuUnaposoma Biblia tumia akili, simple!
rudian kuandika hii tena labda umekoseaKuzini kungekuwa kosa basi mtoto apatikanaye kwa njia ya kuzini moja kwa moja angekuwa haramu.
Nimesoma za kutosha kujua kwamba Bibilia sio kitabu cha hesabu za statistics.ushasoma chapteriii ngapi mkuu
Kaka ndege Mimi sina neno nipo hapa nasikiliza... Wachokonozii wanasema uislamu na kurani ni manuscript ya Mohamed maana alikua na ukwasi wa maana hivyo akawa na taasisi yake ndio uislamu ukaenea ki hivyoo kwa waarabu na waajemiiMlokole mwenzangu sikiliza!
1. Bibilia inaposema , "usizini", inawataka watu wasizae watoto hovyo hovyo ili waje kuteseka duniani bila matunzo. Bibilia haisemi kazini/kujamiiana ni kitu kibaya bali inakuambia kuzaa watoto usioweza kuwalea ni kosa maana watateseka. Amri hii imewekwa ili kuwafanya watu wasizae kama simbilisi.
2. Bibilia inaposema, "usitamani Mali ya mtu mwingine", haikumaanisha kuwa kutamani ni kitu kibaya, bali inajaribu kukuambia kuwa ukitamani kitu cha mtu unaweza kukiiba au kikipokonya na hatimaye utakamatwa na utapigwa au kuuawa kabisa.
3.....
Hivyo, soma bibilia kwa kutumia akili na siyo kuikariri tu kama kasuku.
bwana yesu asifiwe!
Hii iko sawa.rudian kuandika hii tena labda umekosea
leo nina vibe ya kupiga kelele ngoja nilete spika tuje kuwasumbua mita hiiPitia hapa umeupiga mwingi
ohh kama iko sawa basi haifai kukujibu, endelea kukuwa.Hii iko sawa.
Hawa wachokonozi bwana! πKaka ndege Mimi sina neno nipo hapa nasikiliza... Wachokonozii wanasema uislamu na kurani ni manuscript ya Mohamed maana alikua na ukwasi wa maana hivyo akawa na taasisi yake ndio uislamu ukaenea ki hivyoo kwa waarabu na waajemii
Jana ulifukuzwa kwenye biashara za watuleo nina vibe ya kupiga kelele ngoja nilete spika tuje kuwasumbua mita hii