secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
- Thread starter
-
- #41
Hapa ninachokilenga siyo huo msamiati (kuzini, tendo la ndoa n.k), bali kitendo cha mwanaume kukutana kimwili.Sidhani kama ni hivyo!
Kuzini kunatokana na tamaa kama vile kuiba kunavyotokana na kutamani,Amri10.
Kuzini ni tendo la mme/mke aliye katika ndoa kuchepuka.
Mkuu, hujaelewa ninachomaanisha.Ungekuwa na welewa wa kisomi ungetambua kwa jibu lako hili uneji-contradict tayari. Yaani wewe TLS akikuhoji unekwisha, Afadhali amhoji huyu Polisi aliekufa akafufuka kuja kutoa ushahidi!
Nilijua tu Kwa vyovyoye vile walokole msingependezwa na hili andiko langu. Synthesizer ameshaanza kunirushia ballistic missiles.Mi nachojua mleta mada hana akili hivyo tu Cc secretarybird
Hapana sikubaliani na dhana hiyo. Hapo utakuwa umetenda makosa mawili:Yes. Hata mimba ikiingia siyo kosa. Kosa ni kushindwa kumhudumia huyo mtoto atakayezaliwa.
Hakuna magonjwa ya kiroho mkuu.Sasa waliposema usizini walimaanisha usipate magonjwa n maswala maegine ya kiroho
π π acha ufundishwe huenda hujui kitu πNilijua tu Kwa vyovyoye vile walokole msingependezwa na hili andiko langu. Synthesizer ameshaanza kunirushia ballistic missiles.
Kama kuzini ni kosa mbona mtoto anayepatika kutokana na mchakato wa kuzini sisi walokole tunampenda?Hapana sikubaliani na dhana hiyo. Hapo utakuwa umetenda makosa mawili:
1. Umezini ilhali Mungu ameamrisha Usizini
2. Umeshindwa kumhudumia mtoto wako ilhali Mungu amesema (kupitia Wakolosai 6:4) na pia ni kuvunja amri ya 4 ya Mungu isemayo Waheshimu baba na mama yako upate miaka ........ i.e. Inakuwaje wewe hau-uheshimu ubaba wako au u-mama wako? Mtoto kakusoea nini? Imenenwa katika amri kuu ya mapendo "Mpende binadamu mwenzako kama unavyojipenda mwenyewe (Marko 12:31, Mathayo 22:39)....
Jesuuuu! π―π π acha ufundishwe huenda hujui kitu π
Sio magonjwa tu broo; ni pamoja na kuuhatarisha Uhai wako. Ukifumaniwa waweza kuuawa au kujeruhiwa na ukapata kilema cha maisha au kufungwa jela e.g. kwa mtoto wa shule ni miaka 30+. Chagua mwenyewe.Sasa waliposema usizini walimaanisha usipate magonjwa n maswala maegine ya kiroho
Hapana, mie nataka tuelewane tu taratibu. Umesema, Biblia ikisema usizini ni kwa sababu haitaki watu kuzaa ovyo ovyo.Nilijua tu Kwa vyovyoye vile walokole msingependezwa na hili andiko langu. Synthesizer ameshaanza kunirushia ballistic missiles.
Hapa sasa umenena. Ndiyo maana nimesema bibilia isomwe kwa akili.Sio magonjwa tu broo; ni pamoja na kuuhatarisha Uhai wako. Ukifumaniwa waweza kuuawa au kujeruhiwa na ukapata kilema cha maisha au kufungwa jela e.g. kwa mtoto wa shule ni miaka 30+. Chagua mwenyewe.
kama kuzini siyo kosa unamaanisha hata mke wa jilani unapita naye umzaa mtoto mkamlea safi hapo hukuna dhambiKweli kabisa mkuu. Kuzini kungekuwa kosa basi mtoto apatikanaye kwa njia ya kuzini moja kwa moja angekuwa haramu.
Hivyo, kuzini si kosa, kosa ni kushindwa kumhudumia mtoto aliyetokana na matokea ya kuzini kwako.
Walokole tubadilike bhana!
KiruuuuuuJesuuuu! π―
Sio walokole tu mnayempenda. Sote; Mtoto kama mtoto anapendwa na watu wote japokuwa Jamii inambandika majina mabaya e.g. eti ni Mtoto haramu. (Bustard) lakini hilo lisikupe shida kwani hata hao wanaonekana kama watoto halali wanaegemea na kulindwa na ule msemo potofu kwamba eti Kitanda hakizai Haramu. Lakini kwa upande ukifuatilia e.g. DNA zao biological father wao kiukweli sio huyo wanayemwita baba kwa sasa. Inaweza kuwa Baba huyo alibambikiziwa mimba.Kama kuzini ni kosa mbona mtoto anayepatika kutokana na mchakato wa kuzini sisi walokole tunampenda?
Ndiyo kabisa; tena kwa kutulia kisawasawa. Usikurupikie mistari fulani fulani eti kwa kuwa ina maslahi kwako. Never.Hapa sasa umenena. Ndiyo maana nimesema bibilia isomwe kwa akili.
Kuzini na mwanamke yeyote yula siyo kosa. Ila kilicholengwa (kilichofumbwa) pale ni athari hasi ambayo inaweza kumpata mtu baada ya kufanya mapenzi.Hapana, mie nataka tuelewane tu taratibu. Umesema, Biblia ikisema usizini ni kwa sababu haitaki watu kuzaa ovyo ovyo.
Ndio maana nikauliza, kwa hiyo kuzini na mwanamke ambae unajua hatazaa kwa sabau ameondoa kizazi sio tatizo Ki-Biblia? Sasa hapo nimerushaje missile? Nataka tu ufafanuzi wako