Unapotafutia riziki pana adui wengi kuliko unapoishi, kuwa makini sana

Ukiwa kwenye eneo la utafutaji, Fanya kazi zako kisha nenda nyumbani ukaendelee na issue nyingine.

Urafiki wa eneo la kazi, mostly faida zake huwa ni Unafiki na kuchangiana harusi. Nje na hapo huwa hauna tija sana.

Kama eneo unaishi ni Umejenga (Makazi ya kudumu), basi jitahidi ushiriki issue za kijamii.

Be a Man, Yajue ya kuzingatia ili uachane na yasiyokuhusu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…