Unapoteza pesa yako bure

Unapoteza pesa yako bure

Naunga mkono hoja hahaha

Kwa huu ' Ubunifu ' wako huu wa ' Kutukuka ' wa kila uzi mpya unapoanzishwa Wewe unakuwa #2 kuujibu bado tu haujakupatia ' Mademu ' humu ambao wanawapenda Watu Wajanja Wajanja na Vipanga / Werevu kama Wewe Mkuu? Nitashukuru nikipata ' mrejesho ' wako juu ya hili tafadhali.
 
Daah hapana aisee mkuu bado
 
Back
Top Bottom