Unaridhishwa na taarifa ya mapato na matumizi ya fedha Serikali ya Mtaani kwako?

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722
Your browser is not able to display this video.


Serikali za mitaa zina wajibu wa kuandaa bajeti, kutunza fedha na kutoa taarifa wazi katika vikao pamoja na kubandika kwenye mbao za matangazo kuhusu mapato na matumizi ya fedha kila mwaka wa fedha unapoisha.

Lakini je, wananchi wanashiriki kikamilifu katika kusimamia uwazi huu?
  • Je, umewahi kuona taarifa za mapato na matumizi zikibandikwa kwenye mbao za matangazo za mtaa wako?
  • Ni mara ngapi umewahi kuhudhuria vikao vya mtaa ili kufuatilia taarifa hizo?
  • Unajua kiasi gani kuhusu bajeti na matumizi ya fedha zinazotolewa kwa maendeleo ya eneo lako?
Kwanini wananchi wengi bado hawafuatilii taarifa hizi, na hili linamaanisha nini kwa uwajibikaji wa serikali za mitaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…