Unaruhusiwa Kuvuta Sigara Hapa

Unaruhusiwa Kuvuta Sigara Hapa

frema120

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2012
Posts
5,098
Reaction score
1,339
Ukiwa geti la kwanza, upande wa mandela roads kwenye kituo cha kuzalisha umeme songas kuna tangazo hili, hivi kisheria imekaaje tangazo kama hilo wakati sehemu hiyo inavyoonesha ni hatari na sio salama kwa kuvuta sigara.

Msaada Pls.
 
Back
Top Bottom