frema120 JF-Expert Member Joined Jan 1, 2012 Posts 5,098 Reaction score 1,339 Jan 3, 2014 #1 Ukiwa geti la kwanza, upande wa mandela roads kwenye kituo cha kuzalisha umeme songas kuna tangazo hili, hivi kisheria imekaaje tangazo kama hilo wakati sehemu hiyo inavyoonesha ni hatari na sio salama kwa kuvuta sigara. Msaada Pls.
Ukiwa geti la kwanza, upande wa mandela roads kwenye kituo cha kuzalisha umeme songas kuna tangazo hili, hivi kisheria imekaaje tangazo kama hilo wakati sehemu hiyo inavyoonesha ni hatari na sio salama kwa kuvuta sigara. Msaada Pls.