Unasemaje huu ujio wa hizi YUTONG, ajali au stability itaongezeka?

Unasemaje huu ujio wa hizi YUTONG, ajali au stability itaongezeka?

Dear_me_

Member
Joined
Dec 31, 2022
Posts
36
Reaction score
79
Next Generation

IMG_2241.jpg

IMG_8635.jpg
 
Ila wachina wananiwahi sana,sina mtaji tu na niko bongo;

Imagine hii idea ya kuweka basi za hivi ninayo siku nyingi sana,japo zipo na zingine ila zangu nitapeleka costech niombe hatimiliki tu;

Naona stability na ajali kidogo sana,toa uzembe wa driver na ubora wq barabara;
Ilikuwepo moja Iringa miaka ya 2007 kama sijakosea nadhani ilikuwa Upendo nasikia watu wa viwango waliipiga bit sijui iliishia wapi?
 
Hiyo technology ya axle configuration ya 8×2 huku axle 2 za mbele zikifanya steering, ni ya muda kwenye basi imetumika kwenye Irizar na Marcopolo.

Saizi technology ni axle ya mwisho nyuma kufanya manouvre ya steering.
 
Ila wachina wananiwahi sana,sina mtaji tu na niko bongo;

Imagine hii idea ya kuweka basi za hivi ninayo siku nyingi sana,japo zipo na zingine ila zangu nitapeleka costech niombe hatimiliki tu;

Naona stability na ajali kidogo sana,toa uzembe wa driver na ubora wq barabara;

Idea hii za ndan kbsa zlianzia Africa miak y nyuma kbsa wao nao sio kwmba hawatuigi wakiona ktu kwnye mitandao hapana wanviona ila chin chini wanaanz kuvifanyia kazi
 
Ajali hazitaisha kwa uzembe wa madereva na wengine wasiojua kuendesha masafa marefu
Magari yako vizuri pia
Na barabara zetu hazina alama kabisa na hili linasababisha sana ajali
Wanaona kila mmoja anazijua hizo sharp corners au mteremko wa kasi
Sehemu karibu zote zaidi ya speed limit hakuna road signs kabisa yaani hata zikianguka au kuvunjwa haziwekwi tena

Hizo hela wanazochukua za magari kila siku zinaenda wapi
Wasichoke kuweka signs hata kama zinavunjwa kila siku
Kutahadharisha madereva ni muhimu sana na inaokoa ajali nyingi sana
 
Big up hivi ndiyo vitu tunataka
Rut ya dar to sumbawanga naichukua
Mtu asiniingilie nimefanya survey hii rut ina abiria wakutoshaaa
 
Mbona hizi bus za Double derker huku Tz azipo but hapo Zambia to South Africa zipo,Je ni sheria aziruhusu au ni gharama kubwa sana kununua haya mabus ya double derker.
 

Attachments

  • FB_IMG_1697479706357.jpg
    FB_IMG_1697479706357.jpg
    97.9 KB · Views: 3
Back
Top Bottom