Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Ukiacha timu yetu pendwa ya taifa, Taifa Stars ni timu gani nyingine ya taifa huwa unashabikia? Taja timu yako unayoshabikia uone wenzako unaoshabikia nao.
Karibu utujuze
Karibu utujuze
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WCBUkiacha timu yetu pendwa ya taifa, Taifa Stars ni timu gani nyingine ya taifa huwa unashabikia? Taja timu yako unayoshabikia uone wenzako unaoshabikia nao.
Karibu utujuze
France.
Mchezaji wa Ufaransa aliebeba kombe la Dunia kabeba tena kombe la Dunia akiwa kocha wa Ufaransa,hii record ni amazing sana kwenye soka.
Didier Deschamps.
Ahsante kwa kunijuza.nakumbuka tukiwa wadogo kocha wetu wa kitaa alikua akiitwa Zagalo,kumbe kuna waliofanya maajabu huko nyuma kwenye ulimwengu wa kibumbu!Lakini Didier Deschamps sio wa kwanza kufanya hivyo.
Franz Backenbeuer "The Kaiser" wa Ujerumani pamoja na Mario Zagalo wa Brazil walishafanya hivyo, kuchukua kama wachezaji na baadae kama makocha.
Ahsante kwa kunijuza.nakumbuka tukiwa wadogo kocha wetu wa kitaa alikua akiitwa Zagalo,kumbe kuna waliofanya maajabu huko nyuma kwenye ulimwengu wa kibumbu!
Hivi lugha fasaha ni ipi"kibumbu au kabumbu?"