Unashauri kuwe na events zipi ili kustawisha undugu wa Tanzania na Kenya?

Unashauri kuwe na events zipi ili kustawisha undugu wa Tanzania na Kenya?

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Lets put negativities pembeni tucheki kidogo positive side

Sisi ni watani toka long time sema tu utani unavuka mipaka kila moja anavutia kamba kwake na ndio hapo sasa it turns out to be a battle and many think we are enemies kumbe ni watani

Tulichinacho Tz - Ke i doubt kama kuna nchi nyingine hapa afrika kipo, its a very strong bond, hata majirani zetu Uganda sijui kama wana bond hii na Warwanda, labda may be Ghana and Nigeria but I see nothing close to us.

Kuendeleza muungano baina yetu tungefanya events ambazo hatujazidiana sana ama bado hatujatest.

Kwangu nimeona tukianza na contests za ngoma za asili hii itakuwa very entertaining.
 
Wajamaa na mabepari hawawezi kukaa pamoja

kenya mara nyingi anaihujumu Tz so hawawezi kuwa ndugu zetu hata kidogo angalau Uganda
 
Michezo, hakuna 'force' nyingine ya kutajika duniani zaidi ya michezo. Kwenye kuleta na kudumisha amani, umoja, ushirikiano, upendo, uwiano... n.k, n.k, the list goes on. Kwa mfano kati ya Kenya na Uganda kuna Elgon Cup, mchuano wa raga, ambao umekuwepo kila mwaka tangia 2004 na 2006 kwa kina dada. Elgon Cup ni zaidi ya mashindano na imefanikiwa sana kuwaunganisha wakenya na waganda, kwa njia moja au nyingine kupitia mchezo waupendao, raga.

Nimekuwepo mara kadhaa kwenye fainali za Elgon Cup, jijini Nairobi na Kampala pia(RFUEA Grounds), au ukipenda 'Migingo Derby'. [emoji1] Kila mara huwa najiuliza kwanini hakuna mashindano ya aina hiyo kati ya Kenya na majirani zake wengine. Hivi karibuni itajumuishwa kwenye Victoria Cup iwe ni kati ya Kenya-Uganda-Zimbambwe.

Historia ya Elgon Cup; The Story of Elgon Cup: Contest between Kenya Simbas-Uganda
 
Wajamaa na mabepari hawawezi kukaa pamoja

kenya mara nyingi anaihujumu Tz so hawawezi kuwa ndugu zetu hata kidogo angalau Uganda
Yani sijui shida hamuelewagi mada au vp, mada imesema toa wazo sio opinion za kichwani mwako kuhusu vitu nje ya maada, waweza anzisha uzi wako special wa ajenda zako.
 
Michezo, hakuna 'force' nyingine ya kutajika duniani zaidi ya michezo. Kwenye kuleta na kudumisha amani, umoja, ushirikiano, upendo, uwiano... n.k, n.k, the list goes on. Kwa mfano kati ya Kenya na Uganda kuna Elgon Cup, mchuano wa raga, ambao umekuwepo kila mwaka tangia 2004 na 2006 kwa kina dada. Elgon Cup ni zaidi ya mashindano na imefanikiwa sana kuwaunganisha wakenya na waganda, kwa njia moja au nyingine kupitia mchezo waupendao, raga. Nimekuwepo mara kadhaa kwenye fainali za Elgon Cup, jijini Nairobi na Kampala pia(RFUEA Grounds), au ukipenda 'Migingo Derby'. [emoji1] Kila mara huwa najiuliza kwanini hakuna mashindano ya aina hiyo kati ya Kenya na majirani zake wengine. Hivi karibuni itajumuishwa kwenye Victoria Cup iwe ni kati ya Kenya-Uganda-Zimbambwe. Historia ya Elgon Cup; The Story of Elgon Cup: Contest between Kenya Simbas-Uganda
Wow hii ingekuwa safi sana kwa Tz na Ke, hasa ukizingatia tuna utani wa jadi
 
Aisee, ujinga katika ubora waks
Hakika.

EopAcHmXUAMGjKn.jpg
 
Yani sijui shida hamuelewagi maada au vp, mada imesema toa wazo sio opinion za kichwani mwako kuhusu vitu nje ya maada, waweza anzisha uzi wako special wa ajenda zako
Wewe mkenya njoo Tanzania tukufundishe kiswahili kwanza ndio ujitie utanzania, kwa Kiswahili kibovu hivi ni rahisi sana kushtukiwa kwamba sio mtanzania

Nani kakudanganya ni maada?
 
Wajamaa na mabepari hawawezi kukaa pamoja

kenya mara nyingi anaihujumu Tz so hawawezi kuwa ndugu zetu hata kidogo angalau Uganda
Hahahaha wakenya wanapenda sana kuforce undugu na sisi utafikiri hata tunaendana

Yaani haijatokea Tanzania tukarelate na Kenya na hii ni toka mataifa haya yamekuako, hatupo hivyo wala hatutaki nashangaa wanapoteza nguvu za nini

Tanzania tuna majirani 7 ukiwa ondoa wao so hatuna uhaba wa majirani at all na hiyo bond sijui anayotaka kutuaminisha wala hata haiexist na ndio naisikia leo 😅😅😅
 
Yani sijui shida hamuelewagi maada au vp, mada imesema toa wazo sio opinion za kichwani mwako kuhusu vitu nje ya maada, waweza anzisha uzi wako special wa ajenda zako
Alafu tunawatuhumu waalimu, kuwa hawafundishi reasoning.
 
Huwezi weka meetings au festival

Tukaelewana kwasababu wakenyaa wana kitu inaitwa kujiona superiority na exceptionals. From there is where a problem starts. Most of Kenyan especially nairobi dwellers ni much know mnooo sasa kama ujuavyo Mtanzania ukishamletea jeuri basi.
 
Michezo, hakuna 'force' nyingine ya kutajika duniani zaidi ya michezo. Kwenye kuleta na kudumisha amani, umoja, ushirikiano, upendo, uwiano... n.k, n.k, the list goes on. Kwa mfano kati ya Kenya na Uganda kuna Elgon Cup, mchuano wa raga, ambao umekuwepo kila mwaka tangia 2004 na 2006 kwa kina dada. Elgon Cup ni zaidi ya mashindano na imefanikiwa sana kuwaunganisha wakenya na waganda, kwa njia moja au nyingine kupitia mchezo waupendao, raga.

Nimekuwepo mara kadhaa kwenye fainali za Elgon Cup, jijini Nairobi na Kampala pia(RFUEA Grounds), au ukipenda 'Migingo Derby'. [emoji1] Kila mara huwa najiuliza kwanini hakuna mashindano ya aina hiyo kati ya Kenya na majirani zake wengine. Hivi karibuni itajumuishwa kwenye Victoria Cup iwe ni kati ya Kenya-Uganda-Zimbambwe.

Historia ya Elgon Cup; The Story of Elgon Cup: Contest between Kenya Simbas-Uganda
Kombe la Kagamea (Klabu bingwa Afrika Mashariki na kati lichezwe kwa mfumo wa ligi kama ilivyovyo klabu bingwa Afrika.
 
Malizeni ugomvi wenu na Somalia, usije kwa gia ya urafiki kumbe ni trojan horse.
 
Mkuu kwa taarifa yako mimi ni Mtz nipo Mbeya.

Tatizo kichwa kimekujaa negativities
"That which is at variance within itself cannot be in perfect harmony with anything else" Kabla ya Kenya kutafuta suluhisho na majirani zake inapaswa kwanza atafute suluhisho la ndani kwanza.

Hii ndio ilikuwa hoja yangu, next time ulewa context na panua akili.
 
" That which is at variance within itself cannot be in perfect harmony with anything else" Kabla ya Kenya kutafuta suluhisho na majirani zake inapaswa kwanza atafute suluhisho la ndani kwanza.
Hii ndio ilikuwa hoja yangu, next time ulewa context na panua akili.
Ulichoandika yawezekana kipo sahihi lakini umekipost mahala ambako sio sahihi.

Ulichoandika hakiendani kabisa na maada, hii ni kwasababu mawazo yako yamejaa negativity tu.
 
Back
Top Bottom