sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Yani sijui shida hamuelewagi mada au vp, mada imesema toa wazo sio opinion za kichwani mwako kuhusu vitu nje ya maada, waweza anzisha uzi wako special wa ajenda zako.Wajamaa na mabepari hawawezi kukaa pamoja
kenya mara nyingi anaihujumu Tz so hawawezi kuwa ndugu zetu hata kidogo angalau Uganda
Wow hii ingekuwa safi sana kwa Tz na Ke, hasa ukizingatia tuna utani wa jadiMichezo, hakuna 'force' nyingine ya kutajika duniani zaidi ya michezo. Kwenye kuleta na kudumisha amani, umoja, ushirikiano, upendo, uwiano... n.k, n.k, the list goes on. Kwa mfano kati ya Kenya na Uganda kuna Elgon Cup, mchuano wa raga, ambao umekuwepo kila mwaka tangia 2004 na 2006 kwa kina dada. Elgon Cup ni zaidi ya mashindano na imefanikiwa sana kuwaunganisha wakenya na waganda, kwa njia moja au nyingine kupitia mchezo waupendao, raga. Nimekuwepo mara kadhaa kwenye fainali za Elgon Cup, jijini Nairobi na Kampala pia(RFUEA Grounds), au ukipenda 'Migingo Derby'. [emoji1] Kila mara huwa najiuliza kwanini hakuna mashindano ya aina hiyo kati ya Kenya na majirani zake wengine. Hivi karibuni itajumuishwa kwenye Victoria Cup iwe ni kati ya Kenya-Uganda-Zimbambwe. Historia ya Elgon Cup; The Story of Elgon Cup: Contest between Kenya Simbas-Uganda
Wajamaa na mabepari hawawezi kukaa pamoja
kenya mara nyingi anaihujumu Tz so hawawezi kuwa ndugu zetu hata kidogo angalau Uganda
Wewe mkenya njoo Tanzania tukufundishe kiswahili kwanza ndio ujitie utanzania, kwa Kiswahili kibovu hivi ni rahisi sana kushtukiwa kwamba sio mtanzaniaYani sijui shida hamuelewagi maada au vp, mada imesema toa wazo sio opinion za kichwani mwako kuhusu vitu nje ya maada, waweza anzisha uzi wako special wa ajenda zako
Hahahaha wakenya wanapenda sana kuforce undugu na sisi utafikiri hata tunaendanaWajamaa na mabepari hawawezi kukaa pamoja
kenya mara nyingi anaihujumu Tz so hawawezi kuwa ndugu zetu hata kidogo angalau Uganda
Alafu tunawatuhumu waalimu, kuwa hawafundishi reasoning.Yani sijui shida hamuelewagi maada au vp, mada imesema toa wazo sio opinion za kichwani mwako kuhusu vitu nje ya maada, waweza anzisha uzi wako special wa ajenda zako
Kombe la Kagamea (Klabu bingwa Afrika Mashariki na kati lichezwe kwa mfumo wa ligi kama ilivyovyo klabu bingwa Afrika.Michezo, hakuna 'force' nyingine ya kutajika duniani zaidi ya michezo. Kwenye kuleta na kudumisha amani, umoja, ushirikiano, upendo, uwiano... n.k, n.k, the list goes on. Kwa mfano kati ya Kenya na Uganda kuna Elgon Cup, mchuano wa raga, ambao umekuwepo kila mwaka tangia 2004 na 2006 kwa kina dada. Elgon Cup ni zaidi ya mashindano na imefanikiwa sana kuwaunganisha wakenya na waganda, kwa njia moja au nyingine kupitia mchezo waupendao, raga.
Nimekuwepo mara kadhaa kwenye fainali za Elgon Cup, jijini Nairobi na Kampala pia(RFUEA Grounds), au ukipenda 'Migingo Derby'. [emoji1] Kila mara huwa najiuliza kwanini hakuna mashindano ya aina hiyo kati ya Kenya na majirani zake wengine. Hivi karibuni itajumuishwa kwenye Victoria Cup iwe ni kati ya Kenya-Uganda-Zimbambwe.
Historia ya Elgon Cup; The Story of Elgon Cup: Contest between Kenya Simbas-Uganda
Mkuu kwa taarifa yako mimi ni Mtz nipo Mbeya.Malizeni ugomvi wenu na Somalia, usije kwa gia ya urafiki kumbe ni trojan horse.
Sema hujawahi wewe mkuu, ni sawa nabkusema hatuna pesa, inabidi usemage hauna wewe pesaHatujawahi kuwa na udugu na wakunya
"That which is at variance within itself cannot be in perfect harmony with anything else" Kabla ya Kenya kutafuta suluhisho na majirani zake inapaswa kwanza atafute suluhisho la ndani kwanza.Mkuu kwa taarifa yako mimi ni Mtz nipo Mbeya.
Tatizo kichwa kimekujaa negativities
Ulichoandika yawezekana kipo sahihi lakini umekipost mahala ambako sio sahihi." That which is at variance within itself cannot be in perfect harmony with anything else" Kabla ya Kenya kutafuta suluhisho na majirani zake inapaswa kwanza atafute suluhisho la ndani kwanza.
Hii ndio ilikuwa hoja yangu, next time ulewa context na panua akili.