Lakini nasikia mwanamke akiwa mshauri wako, bajeti kubwa ya fedha ya familia inakwenda kwenye ma'lipstic, chopstick, angel'face, lipshine, mediven na ma'chinese-sijui nini nin!😀😀mwanamke ni mshauri mzuri sana (mara nyingi) ingawa ukweli hukwepeki kuwa wakati mwingine mwanamke aweza kumshauri vibaya mumewe......
ila hii haifanyi basi kila mwanaume aombaye ushauri kwa mkewe anachanganyikiwa
hayo maneno ya kitaa tu kaka
Lakini nasikia mwanamke akiwa mshauri wako, bajeti kubwa ya fedha ya familia inakwenda kwenye ma'lipstic, chopstick, angel'face, lipshine, mediven na ma'chinese-sijui nini nin!😀😀
Kaka PJ,
Ushauri wa wake zetu mara nyingi huwa ni mzuri na mimi huwa naufuata sana
lakini sometimes hawa viumbe huwa wanaweza wakakushauri kitu kama usipotafakari mara mbili mbili unaweza kukosana na ndugu, jamaa na rafiki zako.
Mfano kwa upande wangu linapokuja swala linalohusu upande wa ndugu zangu,
ushauri wa wife mara nyingi huwa sio mzuri.
lakini mara nyingi ushauri wake huwa 'unajenga'.
Kuhusu ushauri inategemea ntu na ntu.Awe mwanaume au mwanamke anaweza kuwa na ushauri mbaya au mzuri.Suala la ushauri mara nyingi pia huwa ni karama fulani kutoka kwa Mungu.Kuna watu wameumbwa na hekima na wengine ni aibu.
Cha msingi wewe mwenyewe uwe unachuja lipi jema au baya.Na as far as i know wanawake wengi wamepewa hekima hivyo ni watoa ushauri wazuri sana.
note that;
Behind every succesfull Man there is a Woman.
Yup broda!Nimesikitishwa sana na kauli nilizoanza kuzisikia sasa hivi kwamba ''JAMAA KASHIKWA NA MKE WAKE''!
wabongo bana,enewei
mwanamke ni mshauri mzuri sana (mara nyingi) ingawa ukweli hukwepeki kuwa wakati mwingine mwanamke aweza kumshauri vibaya mumewe......
ila hii haifanyi basi kila mwanaume aombaye ushauri kwa mkewe anachanganyikiwa
hayo maneno ya kitaa tu kaka
my friend si kweli!uliza wapwaaz watakwambia!basi tu watu huwaga HAWAKOSI CHA KUONGEAYup broda!
Ukijaribu kuwa beneti na mywife, basi kauli ndo hizo hapo juu!
Kwa ufupi unaonekana huna mpango kwa watu wako wa karibu!..huh!
mkuu hapo kwenye red umeniacha kidogo.
Kwa ukweli ushauri wa mke si wa kupuuza but, lazima ujue wewe baba ndiye kichwa cha nyumba. Kichwa ndicho hufikiri. Hivyo ni lazima uanalyse ushauri kabla ya kuukubali moja kwa moja, vinginevyo unaweza ukachanganya mambo kama anavyoonyesha mkuu ndibalema hapo juu.
Yani unakubali kusikitishwa na simple minds? Si uwapotezeee tu? Raha jipe mwenyewe babu.Utakufa siku si zako!Nimesikitishwa sana na kauli nilizoanza kuzisikia sasa hivi kwamba ''JAMAA KASHIKWA NA MKE WAKE''!
wabongo bana,enewei
Nimesikitishwa sana na kauli nilizoanza kuzisikia sasa hivi kwamba ''JAMAA KASHIKWA NA MKE WAKE''!
wabongo bana,enewei