Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Tunajua ili mambo yabadilike lazima tuoneshe panapovuja lakini pia kushiriki kwenye kuboresha sehemu hiyo kwa namna mbalimbali. Mfano unaona kiongozi hafai unashiriki kwenye uchaguzi kuchagua kingozi bora, unakuta sehemu kumeharibika kwa mfano julisha mamlaka husika sehemu yenye changamoto, hampati maji au umeme julisha mamlaka sehemu fulani huduma hii haitufikii, wajibikeni.
Sasa kuna team wale team kulalama, hufanyi jitihada yoyote ili huduma hiyo iboreshwe wewe ni kulalamika left and right, muda wa kupiga kura unafika utasikia aaah mi nishaachaga hayo mambo, miswada inaleta kutoa maoni wala huna muda unasubiri mambo yaptishwe uanze kulalamika!
Sasa bila wewe kushiriki kwenye michakato hiyo mambo yanabadilikaje?