Nahisi mkuu.Hivi huyu jamaa huwa ana nyimbo mbili tu??
Naskiliza wimbo wa P mawenge ft Zaiid.Habar
Kila siku na mood yake!mi saa izi nasikiliza wimbo
Wa “lavalava -habibi”
#maishaSiyoKuwaSeriousMudaOte
Tuambie unasikiliza wimbo gan Au ndo unasikiliza makelele ya mkeo??[emoji23][emoji23]
LoiHabar
Kila siku na mood yake!mi saa izi nasikiliza wimbo
Wa “lavalava -habibi”
#maishaSiyoKuwaSeriousMudaOte
Tuambie unasikiliza wimbo gan Au ndo unasikiliza makelele ya mkeo??[emoji23][emoji23]
Master kg?londoloze
Yah, play list zangu ni old schools kwa 95%