Nipo hapa nasikiliza nyimbo ya msondo ngoma baba ya muziki inaitwa 'mapenz kizungumkuti'.Habar
Kila siku na mood yake!mi saa izi nasikiliza wimbo
Wa “lavalava -habibi”
#maishaSiyoKuwaSeriousMudaOte
Tuambie unasikiliza wimbo gan Au ndo unasikiliza makelele ya mkeo??[emoji23][emoji23]