Unasikiliza wimbo gani sasa hivi?

Sema mimi wananikera kina Mondi wnatoka Bongo wanenda kwao kushoot video zinazon'gaa za gharama wakati zao kawaida tu.

Na muziki wao ni tofauti na wetu wao hawasikilizi kama sisi beat zao zimeshiba.
SA wapo mbele sana mzee, ni tofauti na hapa kwetu, wale bado wana utaratibu wa kutoa album na kuuza hilo ni tofaut na sisi, music kwao una ushindan mkubwa sana..

Angalia hata kwenye awards zao mbalimbali unaona kabsa wameendelea kuanzia beat mashair, ubora wa video hadi tour zao
 
Banana Zorro- Zoba.

Ngoja ngoja naonekana zoba!

I moved your cheese!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…