Unasikiliza wimbo gani sasa hivi?

Misuli ya imani- ambwene.....yaani leo toka nimeamka umekuwa ukizunguka kichwani[emoji848] ikabidi niudowload

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Wana wana wanaaaa pale tulipokutanaaaa
Mikono tukapeana macho yakatizamana wana wanaa🎶🎶🎶🎵
 
Namtom Shininga te kinu Shiinya. Mure mure mwalolia kwi ikite makusaro lire mafura. Waisasandaiya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…