Unasikiliza wimbo gani sasa hivi?

Vitamins Music -Belle 9 Ft Joh Makin.


Huu Wimbo Joo aliutendea haki.

JOH LYRICS""

Vitamin A huzidisha Uwezo wa Kuona/
Ila vitamin Music Huwaonyesha mpaka vipofu/
Wanasiasa hutumia kuwakusanya watu/
Hazina nguvu hotuba zao kushinda sauti zetu/
Hauna mipaka dunia nzima unachengua/
Bila Muziki sitaki Maji ni ambavo ungekuwa/
Katiba ingekuwa wimbo wengi wangeijua/

Vitamin B hutuongezea kumbux2 Mazee/
Vitamin Music huwa kumbusha wazee/
Ujana wao utoto wao, .
Hisia na Wapenzi wao huwatuliza akili/
Protein hutupa nguvu ya Mwili/
Vitamin Music Huwapa wanajeshi Ujasiri/
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…