Aisee kuna jambo Athumani alinifanyia juzi...! Yaani nimesikitika na kuumia sana moyoni.
Ila sema tu Athumani sio MUNGU na MUNGU si Athumani... Sijui MUNGU angekuwa Athumani au angekuwa na undugu au angemsikiliza Athumani siku ile sijui ingekuwaje!
GOODLUCK GOZBERT_MUNGU HAPOKEI RUSHWA
Wakuu huu wimbo unanibariki na kunifariji kwa lile tukio.