Tafuta Yanga ft AKA nimesahau jina.Wande cool ft AKA -same shit
Kali sana hiiNasty C ft Rowlene
SMA.
Anajua ..ni moja ya marapper wakali Afrika.Kali sana hii
Hii ngoma ilinifanya nitafute Album yake yote ile yenye huo wimbo (Strings&Bling) ni kisanga asee,Anajua ..ni moja ya marapper wakali Afrika.
Video zake nazo ni hatari, mi naikubali zaidi ile Vol. 3Anajua ..ni moja ya marapper wakali Afrika.
Kwesta Je?Hii ngoma ilinifanya nitafute Album yake yote ile yenye huo wimbo (Strings&Bling) ni kisanga asee,
Jamaa sijamsikiliza sana..nna wimbo wake mmoja tuu unaitwa Nomayini kama sikoseiKwesta Je?
Duh.!!Mimi hoi
Katchua[emoji4]Katchwa____Yalevis
OkeyKatchua[emoji4]