MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Music is an aphrodisiac for the soul,....MALCOM LUMUMBA inaonekana unapenda sana kula ngoma 🎶
True... Napenda pia music 🎶Music is an aphrodisiac for the soul.
It's an integral part of human life, Mungu alivyoumba muziki alimuonea sana huruma mwanadamu 🤣True... Napenda pia music 🎶
Nikiamka 🎶
Harakati 🎶
Kulala 🎶
Kusingekuwa na muziki sijui ingekuwaje... 🤗It's an integral part of human life, Mungu alivyoumba muziki alimuonea sana huruma mwanadamu 🤣
Aisee, aiseeeh, maisha yangekuwa yakiboya kinoma!Kusingekuwa na muziki sijui ingekuwaje... 🤗