MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Bolingo na taarabu...hizo za kina Cpwaa tuachie akina sisi [emoji23]Kwan me nasikilizaga zipi
Umesema napenda michirikuu[emoji23][emoji23]
Bolingo na taarabu...hizo za kina Cpwaa tuachie akina sisi [emoji23]
Karibu [emoji16][emoji16]Ahsante [emoji2][emoji2]
Troye Sivan - For Him
TusipangianeUtopolo
Hapana Green Day siwafahamu, nitawacheck.Nimewasikiliza sana Linkin Park miaka ya 2000 mwanzoni. Hivi unawafahamu Green Day ???
Hapana Green Day siwafahamu, nitawacheck.