MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Wakongo wana kitu cha ziada kupita sisi, hata ukimsikiliza Mzee Wemba utaona tu. Hivi ushamsikia Lokua Kanza ?MALCOM LUMUMBA hakika madilu alikuwa ni father of RHUMBA.
MALCOM LUMUMBA hakika madilu alikuwa ni father of RHUMBA.
One of my favourite from Madilu, umenikumbusha miaka hiyo Kinshasa
I see Nyboma 🙏🏾🥂
Jina lako limenifanya nimkumbuke Nyboma 🤣 🤣One of my favourite from Madilu, umenikumbusha miaka hiyo Kinshasa
Back old days Zaire was so good..Jina lako limenifanya nimkumbuke Nyboma 🤣 🤣
Nakumbuka miaka hiyo tukiwa wadogo zilikuwa zinapigwa sebuleni halafu maza na rafiki zake wanatuita tucheze.Back old days
They are so dope, my favorite is "21 Guns". Hii Boulevard of Broken Dreams kali sana.
Hahaha... miaka inakimbia sana.Jina lako limenifanya nimkumbuke Nyboma 🤣 🤣