Jaribu kudumu X kanyomozi Haturudi nyuma... Ngoma nzuri balaa.Kidumu ft lady JD nitafanya
Pole binti, unaonekana unateswa na mahusianoMoyo wangu tulia tulia tulia.
Tulia kwa Yesu moyo.
Tulia kwenye pendo lisilokwisha.
Moyo wangu tulia.
By Beatrice Mwaipaja.
Naimba huku nimeshika tama[emoji24]
[emoji91][emoji91][emoji91]Jaribu kudumu X kanyomozi Haturudi nyuma... Ngoma nzuri balaa.